Nenda kwa yaliyomo

Mto Sabine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Sabine.

Mto Sabine ni mto wenye urefu wa kilomita 820. Mto huo unapatikana katika nchi ya Marekani kati ya jimbo la Texas na Louisiana. Mto huo ni sehemu ya mpaka kati ya majimbo hayo mawili na mpaka katika Ziwa la Sabine, kisiwa cha Ghuba cha Mexico.

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Sabine kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.