Mto Gourits

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Madaraja matatu ya Mto Gourits karibu na Albertinia, Western Cape. Daraja la kati ndio la zamani zaidi na lilitumika kama daraja la barabara ya reli Mpaka daraja la kushoto (kaskazini) la reli lilipojengwa miaka ya 1950. Daraja la kulia kabisa (kusini) ni daraja kuu la N2 ambalo lilijengwa miaka ya 1970. Leo daraja la kati lisilotumiwa ni mahali maarufu pa kuruka bungee.

Mto Gourits ni mto wa jimbo la Western Cape, Afrika Kusini.

Unatiririka kwa kilomita 416 na kuishia katika Bahari Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Gourits kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.