Msela
Mandhari
Msela ni mtu ambaye haoni matatizo. Hufanya anachotaka na hajali watu watafikiri nini. Hata kama msela hafuati serikali na hafanyi anachotakiwa, huyu mtu anapendwa kwa watu wa kawaida kwa sababu si jambazi wala mhuni. Ni mtu poa tu, na ubaya wake unapendwa kwa sababu si kweli ubaya hata kama anaishi "kibadboy". Kwa kweli hata mtu huyu anakuwa na heshima kwa watu wengine ila pengine anaweza kuamua kwamba hana heshima tena.
Mara nyingi Wazungu wanaotembea vichochoroni wanaitwa masela. Na mfano mmoja wa msela anayejulikana sana ni "Eminem".
Maneno Yatumikayo sana Mtaani hasa Tanzania
[hariri | hariri chanzo]- Mchizi, mnyamwezi, kachaa, sela, mjita, simela = Raia poa wa mtaani asiye na kazi, au mtu mwenye heshima zake anaeheshimu vijana wa mtaani.
- "Miyeyusho!", "mzinguaji" = Mtu muongo.
- "Mpelampela!" = Haraka haraka.