Nenda kwa yaliyomo

Mr. Queen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mr. Queen (kwa Kikorea: 철인왕후; RR: Cheorinwanghu) ni safu ya runinga ya Korea Kusini iliyochezwa na Shin Hye-sun na Kim Jung-hyun. Ilirushwa kwenye tvN kutoka Desemba 12, 2020 hadi Februari 14, 2021.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mr. Queen kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.