Mpoto Mrisho ni mtunzi wa mashairi nchini Tanzania, Mpoto Mrisho maarufu kama Mjomba au Mpoto. Mpoto Mrisho amezaliwa mnamo 27 Oktoba 1978.