Upangaji
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mpangaji muziki)
Makala hii kuhusu "Upangaji" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
Upangaji au Urekebishaji ni kazi ya kupanga upya sehemu ya muziki hivyo basi itaweza kutumiwa tena kwa ala tofauti au mchanganyiko wa ala mbalimbali kutoka katika muziki asilia. Kwa mfano, wimbo umetungwa kwa ajili ya sauti moja yenye kusindikizwa na piano - yaweza kurekebishwa au kupangwa upya na kuweza kuimbwa kwa vipande na kwaya, au kisehemu cha zeze chaweza kupangwa na kuweza kutumika kwenye zumari badala yake. Mtu anayefanya kazi ya upangaji huenda akawa mtunzi mwenyewe au pia yaweza kuwa mtu mwingine tofauti na yeye.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- New Groves Dictionary of Music & Musicians, ed. Stanley Sadie; London 1980; ISBN 1-56159-174-2