Mourad Amara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mourad Sadegh Amara (alizaliwa 19 Februari 1959) ni golikipa mstaafu wa timu ya taifa ya Algeria. Amara Aliwakilisha Algeria katika mashindano kadhaa yale ya Olimpiki ya Majira ya 1980, Kombe la Dunia la FIFA la 1982, Kombe la Dunia la FIFA la 1986, na Kombe la Mataifa ya Afro-Asia la 1991.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mourad Amara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.