Mouhamadou Fall

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mouhamadou Fall (alizaliwa Beaumont-sur-Oise, 25 Februari 1992) ni mwanariadha kutoka Ufaransa aliyegobea kwenye mbio za mita 200.

Alimaliza wa tatu kwenye michuano ya 2019 ya European Team Championships[1] na alishiriki kwenye 2019 World Championships bila kufika fainali. Alikuwa bingwa wa Ufaransa mwaka 2019.

Kwenye mbio za mita 4 * 100, alimaliza wa 4 kwenye michuano ya 2018 ya Ulaya[1] na watano kwenye mbio za IAAF world relays za 2019.

Rekodi yake bora ni sekunde 10.12 kwenye mita 100 aliipata Julai 2019 kule Saint-Etienne; na sekunde 20.34 kwenye mita 200 aliyoipata Julai 2019.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 "Mouhamadou FALL | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.