Moscow City

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moscow City
Moscow City usiku.

Moscow City (kwa Kirusi: Московский международный деловой центр «Москва-Сити»‎), ni mradi wa kiuchumi katika jiji la Moscow nchini Urusi.

Kwenye eneo la takriban hektari 60 lililopo kwenze ukingo wa kushoto la mto Moskva, takriban kilomita 4-5 kutoka uwanja mwekundu na Kremlin, kuna maghorofa 6 yenye urefu wa mita 300 au zaidi, kati yao maghorofa makubwa ya Ulaya. Pamoja na majengo mengine mradi huu unalenga kuunganisha maeneo ya ofisi, makazi na burudani kwa watu 250,000 – 300,000.

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Moscow City kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.