Mongo (Chad)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
mandhari ya granitine ya Guéra, katikati mwa Chad
mandhari ya granitine ya Guéra, katikati mwa Chad

Mongo (Chad) ni mji uliopo katika mkoa wa Guera nchini Chad.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 37,628 [1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Major Cities, Republic of Chad, tovuti ya citypopulation.de
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mongo (Chad) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.