Mohamed Khamisi Songoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohamed Khamisi Songoro (amezaliwa Zanzibar, 1993) ni mtunzi na mwandishi wa mashairi katika lugha ya Kiswahili na mshindi wa Tuzo ya Kiswahili ya Mabati Cornell [1] mwaka 2019[2] kwa muswada wake wa mashairi ulioitwa Nusu ya Moyo. Songoro alishinda tuzo hiyo akiwa bado mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar, akisomea Shahada ya Awali ya Sanaa na Elimu kwa tahasusi ya Kiswahili na Kiingereza.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://kiswahiliprize.cornell.edu
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-06. Iliwekwa mnamo 2020-04-27. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Khamisi Songoro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.