Mohamed Islam Bakir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohamed Islam Bakir (alizaliwa 13 Julai 1996 huko Larbaâ) ni mwanasoka wa Algeria anayechezea klabu ya CR Belouizdad katika Ligi ya Algeria Professionnelle 1.[1]

Kazi Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Juni 2016, Bakir alitia saini mkataba wa miaka mitatu na klabu ya ES Sétif.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. KL (June 2, 2016). "ESS : Bakir signe un contrat de trois ans". Le Buteur. Iliwekwa mnamo February 12, 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Islam Bakir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.