Modi (Takwimu)
Mandhari
Katika takwimu, modi ya sampuli ya data ni thamani x ambayo inatokea mara nyingi zaidi.
Kwa mfano, katika sampuli ya data hii 1,3,3,5,7,8,9;15,18,3,30 modi ni "3" kwa hyvio namba "3" inatokea mara nne.
Kama wastani na kati, modi ni kipimo cha mwelekeo wa kati.
Kwa programu ya takwimu R
[hariri | hariri chanzo]Ili mtafute modi kwa lugha ya programu ya takwimu R mandike :
SampuliYangu<- c(7, 4, 3, 6, 9, 2, 9, 13, 9, 9)
library(modeest)
mlv(SampuliYangu, method = "mfv")
Mode (most likely value): 9
Bickel's modal skewness : -0.1
Call: mlv.default(x = SampuliYangu, method = "mfv")
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
- Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.