Mnyama mla nyama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mnyama mla Nyama (au kutoka Kiingereza Predator) ni aina ya mnyama ambaye huwinda, kukamata na kula wanyama wengine. Mnyama mla nyama kikawaida anaitwa mnyama mwindaji au kwa Kiing. humwita prey. Mnyama mla nyama anatoka katika familia ya carnivores (wanyama wanao kula nyama) au omnivores (wanyama wanaokula majani na wanyama wengine). Wanyama ambao wana uwezo wa kuwawinda wanyama wengine na kuwala ni k.m. Simba, Fisi, Chui, Mamba na Papa.

Crystal Clear app babelfish vector.svg Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mnyama mla nyama kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.