Mnara wa taa ya nyuma ya Oyster Bay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mnara wa taa wa nyuma ya Oyster Bay ni mnara wa taa kwenye pwani la Dar es salaam, Tanzania. Unapatikana kwenye rasi ya Msasani upande wa Oyster Bay. Mnara huo hufanya kazi yake kwa kushirikiana na Mnara wa taa wa mbele wa Oyster Bay ili kuonya meli mbali kutokarbia miamba iliyopo kenye maji mbele ya rasi ya Msasani . [1] [2]

Mnara huo ni mnara wa mawe mekundu mwenye umbo la mraba ukiwa na mlia mmoja mweupe-mwekundu. Kando la mnara kuna jengo dogo jekundu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Oyster Bay Range Front Lighthouse". Around Guides. Iliwekwa mnamo 2016-10-08. 
  2. MRINDOKO, SEBASTIAN. "Coco Beach set for majestic transformation". www.dailynews.co.tz. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-10. Iliwekwa mnamo 2016-10-08. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]