Mnara wa taa wa Preguiças

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mnara wa taa wa Preguiças ni mnara wa taa ambao pia unajulikana kama mnara wa taa wa Mandacaru unapatikana huko Maranhão nchini Brazili.[1] Mnara huo upo katika kijiji cha Mandacaru pembezoni mwa mto Preguiças, ndani ya hifadhi ya Kitaifa ya Lençois. Ulijengwa mnamo mwaka 1940, bado unatembelewa na watalii kila Jumanne, Alhamisi na Jumapili.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Faróis (pt). CPMA- Capitania dos Portos do Maranhão. Jalada kutoka ya awali juu ya 13 February 2009. Iliwekwa mnamo 25 Octoba 2009.
Map of Brazil with flag.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Preguiças kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.