Mnara wa taa wa Nosy Alañaña

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnara wa taa wa Nosy Alànànà 2006


Mnara wa taa wa Nosy Alañaña ni mnara wa taa wa Nosy Alañaña Toamasina nchini Madagaska pia unajulikana kama Île aux Prunes Light, ni mnara wa taa katika Mkoa wa [Toamasina]] nchini [Madagaska]]. Una urefu wa 197 | ft ni "mnara wa taa wa ishirini na nne24 " mrefu zaidi duniani,[1] Na pia ni mnara wa taa mrefu zaidi [Afrika]. Unapatikana kwenye Île aux Prunes (Isle of Prunes), karibu na kisiwa kidogo cha kaskazini mashariki mwa mkoa wa Toamasina.

Kisiwa hicho kinaweza kufikika kwa mashua, na eneo liko wazi, lakini mnara umefungwa kwa umma.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Nosy Alañaña kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.