Mnara wa taa wa Ilhéu de Cima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnara wa taa ya Ilhéu de Cima
Mnara wa taa ya Ilhéu de Cima

Mnara wa taa ya Ilhéu de Cima ni mnara wa taa juu ya Ilhéu de Cima uko karibu kwa mita 80 juu ya usawa wa bahari.[1] Mnara wa taa ndio jengo pekee ndani ya hifadhi ya asili ya Ilhéus do Rombo.

Ni mnara mdogo mweupe na wenye urefu kati ya mita 4 na unatoa taa yenye rangi nyeupe, Mnara wa taa unamulika taa nyeupe kila baada ya sekunde 12.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 

  1. Bertalan, Attila. "Kap Verdes unbewohnte Inseln" [Uninhabited Islets in Cape Verde]. kapverdischeinseln.com (kwa Kijerumani). 
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Ilhéu de Cima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.