Mlima Speke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Mlima Speke ni mlima wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wa Uganda (Afrika).

Urefu wake unafikia mita 4,890 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Merriam-Webster's Geographical Dictionary, Third Edition. Springfield, Massachusetts: Merriam-Webster, Incorporat]]ed, 1997. Kigezo:ISBN.