Mlima Popa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Upande Mmoja wa Mlima Popa

Mlima Popa ni mlima wa volikano wenye kimo cha m 1,518 juu ya usawa wa bahari.

Uko Myanmar na ni mrefu kuliko yote ya Asia Kusini-Mashariki.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Popa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.