Mlima Moco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Moco.

Mlima Moco ni mlima mrefu zaidi wa Angola (Afrika).

Urefu wake unafikia mita 2,620 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Merriam-Webster's Geographical Dictionary, Third Edition. Springfield, Massachusetts: Merriam-Webster, Incorporat]]ed, 1997. ISBN 0-87779-546-0.