Mlima Giluwe
Mandhari
Mlima Giluwe (kwa Kiing. Mount Giluwe) ni mlima wa volikano wenye kimo cha m 4,368 juu ya usawa wa bahari.
Uko Papua Guinea Mpya ambako ni mlima mrefu wa pili baada ya Mlima Wilhelm.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Giluwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |