Mlima Fentale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Mlima Fentale yenye muonekano kutokea angani

Mlima Fentale ni mlima wa volikano unaopatikana ndani ya mkoa wa Oromia nchini Ethiopia. Ni sehemu ya juu sana katika kanda ya Fontale woreda.

Phillip Briggs ameeleza kwamba mlima Fentale una kreta yenye kina cha mita 350.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Global Volcanism Program
  2. Philip Briggs, Ethiopia: The Bradt Travel Guide, 3rd edition (Chalfont St Peters: Bradt, 2002), p. 335
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Fentale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.