Nenda kwa yaliyomo

Mlima Choqa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlima Choqa (pia unajulikana kwa Ge'ez kama ጮቄ ተራራ , Ch'ok'e Terara na Mlima Birhan) kwa urefu wake wa mita 4,100 (futi 13,451) ni mmoja kati ya milima ya juu kabisa ya Debay Telategn Gojjam, mkoa wa Ethiopia ulioko kusini mwa Ziwa Tana.

Mlima na eneo linalozunguka linakosa misitu, na mteremko wake hupandwa hadi mwinuko wa mita 3,000 juu ya usawa wa bahari.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Choqa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.