Mlima Batu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlima Batu ni moja ya milima mirefu ya Milima Bale ya Ethiopia, jimbo la Oromia. Sehemu ya Hifadhi ya Taifa ya Bale, na ipo katika Kigezo:Nyuzi, inafikia mwinuko wa mita 4,307. Unajumuisha vilele viwili, Tinnish Batu ("Batu ndogo"), ambacho ni kirefu kuliko Tilliq Batu ("Batu Kubwa") kwa kusini.

Sababu ya majina haya imeelezewa na Paul Henze, aliyeripoti kwamba wakati wa kuiangalia, "ilitokea kama vile kilele nyuma ya Tinnish kilikua kirefu."[1]

Mzungu wa kwanza kupanda mlima Batu alikua profesa wa kiFinland, profesa Helmer Smeds, aliyekamilisha hili mwaka 1958.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 ""Local History in Ethiopia"". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-16. Iliwekwa mnamo 2020-02-29. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Batu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.