Mlima Ale Bagu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mlima Ale Bagu

Mlima Ale Bagu Ni mlima wa volikano uliopo katika ukanda wa Afar nchini Ethiopia. Ndio mlima mrefu wa volikano kati ya Erta Ale Range. Kijiji cha El Dom kipo chini ya kitako ya mlima Ale Bagu. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Philip Briggs, Ethiopia: The Bradt Travel Guide, Fifth edition, Updated by Brian Blatt (Chalfont St Peter: Bradt Travel Guides, 2009), p. 314
Flag-map of Ethiopia.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Ale Bagu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.