Mkuti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkuti ni jina la kata ya Wilaya ya Masasi Mjini katika Mkoa wa Mtwara, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,807 waishio humo.[1]

Jina la Mkuti linatokana na kiongozi wa kimila wa kabila la Wamakua ambaye aliitwa Mwene Mkuti ambaye aliishi eneo ambalo sasa imejengwa ofisi ya CCM.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Masasi Mjini - Mkoa wa Mtwara - Tanzania

Chanikanguo | Jida | Marika | Migongo | Mkomaindo | Mkuti | Mtandi | Mumbaka | Mwenge | Mwenge Mtapika | Napupa | Nyasa | Sululu | Temeke


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mtwara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkuti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.