Nenda kwa yaliyomo

Mkojo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sampuli ya mkojo wa binadamu.

Mkojo ni kimiminika ambacho ni takamwili itokanayo na mwili na ambayo huzalishwa na figo, halafu hutolewa mwilini kupitia urethra.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkojo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.