Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Shebelle wa Chini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shebelle wa Chini ni mkoa wa kiutawala (gobol) wa Somalia kusini. Una eneo la km2 25,285 na wakazi 1,218,700 (2019).

    Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
    Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Shebelle wa Chini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
    Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.