Mkoa wa Ninh Thuận
Mandhari
Ninh Thuận, hapo awali iliitwa mkoa wa Phan Rang, ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Phan Rang - Tháp Chàm. Eneo lake ni 3,363.08 km². Mwaka 2009 wakazi 564,993 walihesabiwa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 1 Septemba 2006 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|