Mkoa wa Magharibi, Kamerun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkoa wa Magharibi, Kamerun ni mmojawapo kati ya mikoa ya Kamerun. Jina lenyewe linadokeza mahali pake nchini.

Mkoa huo una wakazi 2,770,400 (kadirio la mwaka 2019[1]) katika eneo la Km² 13,892.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Magharibi, Kamerun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.