Mkoa wa Khánh Hòa
Mandhari
Khánh Hòa ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Nha Trang. Eneo lake ni 5,217.6 km². Mwaka 2009 wakazi 1,157,604 walihesabiwa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Archived 8 Oktoba 2020 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|