Mkoa wa Hậu Giang
Mandhari
Hậu Giang ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Vị Thanh. Eneo lake ni 1,608 km². Mwaka 2009 wakazi 757,300 walihesabiwa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Archived 20 Mei 2008 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|