Mkoa wa Bono Mashariki
Mandhari
Mkoa wa Bono Mashariki ni mmojawapo kati ya mikoa 16 ya Jamhuri ya Ghana.
Eneo lake ni la kilomita ya mraba 23,257.
Makao makuu ni Techiman.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bono Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |