Mkoa wa Bến Tre
Mandhari
Bến Tre ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Bến Tre. Eneo lake ni 2,321.6 km². Mwaka 2009 wakazi 1,255,946 walihesabiwa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 3 Novemba 2014 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|