Nenda kwa yaliyomo

Mkataba wa kimataifa wa rasilimali za mimea kwa chakula na kilimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkataba wa kimataifa wa rasilimali za mimea kwa chakula na kilimo [1] (pia unajulikana kama ITPGRFA, mkataba wa kimataifa wa mbegu au mkataba wa mimea [2]) ni makubaliano ya kimataifa kuhusu anuwai ya Biolojia, ambayo inalenga kuhakikisha upatikanaji wa chakula.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "International Treaty on Plant Genetic Resources for Food and Agriculture". Food and Agriculture Organization of the United Nations. Iliwekwa mnamo 2022-04-02.
  2. "Golay C. (2017), Research Brief: The Right to Seeds and Intellectual Property Rights" (PDF).
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkataba wa kimataifa wa rasilimali za mimea kwa chakula na kilimo kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.