Uwanja wa mji wa Minna
Mandhari
(Elekezwa kutoka Minna Township Stadium)
Uwanja wa Mji wa Minna (Uwanja wa Bako Kontagora) ni uwanja wenye matumizi mengi katika jimbo la Minna, nchini Nigeria. Hivi sasa unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu na ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira ya Niger Tornadoes. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 5,000 hadi 7,000. Jimbo la Niger liko katika hatua za kutaka kupanua uwanja Kwa lengo la kuwezesha kubeba watu 30,000. Lakini uwanja huo unaonekana kuwa katikati ya mji wa minna bila nafasi ya kupanuka. Ila tayari nyumba zilikwisha jengwa katika kila upande wa uwanja.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]9°37′18″N 6°32′57″E / 9.62167°N 6.54917°E
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa mji wa Minna kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |