Mindu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kata ya Mindu
Nchi Tanzania
Mkoa Ruvuma
Wilaya Tunduru
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 4,444

Mindu ni kata ya Wilaya ya Tunduru katika Mkoa wa Ruvuma, Tanzania.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,444 waishio humo.[1]

Mindu iko karibu na barabara A19, si mbali na Nakapanya. Mchoraji maarufu Edward Tingatinga alizaliwa huko Mindu - Namochelia kwenye mwaka 1932.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Tunduru - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania

Chiwana | Jakika | Kalulu | Kidodoma | Ligoma | Ligunga | Lukumbule | Majengo | Majimaji | Marumba | Masonya | Matemanga | Mbati | Mbesa | Mchangani | Mchesi | Mchoteka | Mchuluka | Mindu | Misechela | Mlingoti Magharibi | Mlingoti Mashariki | Mtina | Muhuwesi | Nakapanya | Nakayaya | Nalasi Magharibi | Nalasi Mashariki | Namakambale | Namasakata | Namiungo | Nampungu | Namwinyu | Nandembo | Nanjoka | Ngapa | Sisikwasisi | Tinginya | Tuwemacho


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mindu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.