Milima ya Mbeya
Mandhari
Milima ya Mbeya ni safu ya milima iliyopo katika kusini mwa Tanzania katika Mkoa wa Mbeya.
Mlima wa Mbeya ni mwimuko wa juu na kilele chake kipo mita 2,320 juu ya usawa wa bahari.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milima ya Mbeya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |