Milima White (New Hampshire)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Milima ya White (New Hampshire)

Milima White (New Hampshire) ni safu ya milima ya New England (Marekani).

Urefu wake katika mlima Washington unafikia hadi mita 1,917 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Milima White (New Hampshire) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.