Milima Green

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Milima Green

Milima Green ni safu ya milima ya Vermont (Marekani).

Urefu wake katika mlima Mansfield unafikia hadi mita 1,339 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Flag USA template.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Milima Green kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.