Mildred Reason Dube
Mildred Reason Dube (alifariki 27 Juni 2022) alikuwa mwanasiasa wa Zimbabwe aliyehudumu katika seneti ya Zimbabwe kwanzia 2018 mpaka mauti yalipomfika mnamo 2022,akiwakilisha Bulawayo.Kwanza kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu wa Zimbabwe 2018, Dube alikuwa mshirika wa karibu wa Thokozani Khupe.[1][2]
.Mnamo 2022,Dube,aliyekuwa mwanachama wa harakati za mabadiliko ya kidemokrasia katika chama cha Tsvangirai,alitishiwa kufukuzwa katika chama hicho na kiongozi wa chama hicho Nixon Nyikadzino ;nakulindwa na Khupe, aliyekuwa kaimu raisi wa chama.Baadae Dube akawa kiongozi wa Mkutano wa wabunge wa MDC-T.[3]Hata hivyo ,mnamo mwezi wa kwanza 2022,Dube,Khupe na washirika wawili wa Khupe walifukuzwa katika chama hicho,kufatiwa na maamuzi kutoka kwa MDC-T na kuundwa kwa chama kipya.[4][5][6][7]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-07-15. Iliwekwa mnamo 2024-09-28.
- ↑ Staff Reporter (2020-04-29). "Khupe reacts angrily to her 'expulsion' as MDC-T leader" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-09-28.
- ↑ https://www.thezimbabwemail.com/politics/khupe-reacts-angrily-to-her-expulsion-as-mdc-t-leader/
- ↑ https://www.myzimbabwe.co.zw/news/64003-breaking-mdc-t-secretary-general-nixon-nyikadzino-fires-2-top-mdc-t-officials.html
- ↑ Casper Dube (2020-05-05). "MDC-T Khupe MPs recalled from Parliament by Nyikadzino". Savanna News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-09-28.
- ↑ "Douglas Mwonzora's MDC-T Expels VP Thokozani Khupe". Voice of America (kwa Kiingereza). 2022-01-30. Iliwekwa mnamo 2024-09-28.
- ↑ Agencies (2022-01-29). "MDC T expels Dr Thokozani Khupe". Zw News Zimbabwe (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-09-28.