Michelle Cliff
Mandhari
Michelle Carla Cliff (2 Novemba 1946 – 12 Juni 2016) alikuwa mwandishi wa asili ya Jamaika na Marekani, ambaye kazi zake mashuhuri zinajumuisha Abeng (1985), No Telephone to Heaven (1987), na Free Enterprise (2004).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Michelle Cliff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |