Michael Holt
Mandhari
Michael Holt (alizaliwa Boston, Massachusetts, 1968) ni mwanamuziki wa Marekani anayeishi Truro, Massachusetts. n
Alikulia katika New York City, ambako alijifunza kucheza kinanda akiwa mtoto.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Toronto's Second Annual Festival of House Culture". Iliwekwa mnamo 29 Machi 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Michael Holt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |