Nenda kwa yaliyomo

Mhlume

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mhlume ni mji ulio katika wilaya ya Lubombo ya Eswatini .

Mhlume ina wakazi zaidi ya 20,000. Inajulikana sana kwa mashamba yake makubwa ya miwa katika eneo hilo. Pia ina kiwanda cha kusafisha sukari kiitwacho Mhlume (Swaziland) Sugar Company. Kampuni ya Sukari ya Mhlume hupata miwa kutoka kwa wakulima wadogo katika maeneo ya jirani wakati wa msimu wa mavuno. Kiwanda kinasimamiwa kwa niaba ya Taifa la Waswazi kwa sehemu na wafanyakazi na uongozi wa Shirika la Maendeleo la Jumuiya ya Madola lenye makao yake London.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mhlume kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.