Methali za Warombo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Methali za Warombo ni kama vile:

  • UKASENDA SISI SHINGA MMBA.
Tafsiri: Ukimtaja fisi funga mlango.
  • UKUU ULIKALII ULISEKA ULIRIKONI.
Tafsiri: Kuni zilizopo darini zinacheka zilizoko jikoni.
Maana: Usimcheke mwenzako kwa jambo lolote linalomfika kwani huwezijua kitakachokusibu.
  • MWEKAA FOO NYELYA CHOONDA CHA SISI
Tafsiri:Anayeishi miaka mingi huona mengi
  • KWATEMA NA ITONDO LEKUTOSHA MESO.
Tafsiri:Ukicheza na mjinga atakutoboa macho.
Maana:Ili ufanikiwe maishani chagua marafiki wazuri
  • KWAALIKA CHASAKA SHINGA MESO

Tafsiri:Mtu asiyekujua hakuthamini. Maana:Ni vyema kuomba msaada Kwa watu wanaokufahamu.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Methali za Warombo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.