Menzi Ngubane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Menzi Ngubane
Amezaliwa Menzi Ngubane
28 Agosti 2021
Ladysmith, KwaZulu-Natal, Afrika Kusini
Amekufa 13 Machi 2021
Ladysmith, KwaZulu-Natal
Kazi yake Mwigizaji
Ndoa Lerato Sidibe,Sikelelo Sishuba
Watoto 4

MENZI NGUBANE (alizaliwa mnamo 28 Agosti 1964[1]) alikuwa mwigizaji wa Afrika Kusini, anayejulikana kwa kucheza nafasi ya Sibusiso Dlomo katika Generations (South African TV series)|Generations[2] kutoka mwaka 2003 hadi 2014. Ngubane alicheza majukumu kadhaa kwenye vipindi vingine vya Televisheni vya Afrika Kusini, pamoja na Yizo Yizo, Ashes to Ashes, Gold Diggers, na Heist.[3][4] Mnamo mwaka 2016, alijiunga na waigizaji wa safu ya maigizo ya televisheni "Isibaya", akicheza kama meneja wa kampuni ya teksi.[5]

Ngubane alionekana katika filamu kadhaa za Afrika Kusini, ikiwa ni pamoja na How to Steal 2 Million, kando ya John Kani, Terry Pheto na Rapulana Seiphemo.[3] Filamu ilishinda Picha Bora katika Tuzo za African Movie Academy mwaka 2012.[6]

Alishinda tuzo ya SAFTa ya Mwigizaji Bora wa "Isibaya".[7]

Alikuwa amemuoa Sikelelwa Sishuba.[8][9][10]Ngubane aliugua afya kwa miaka kadhaa ikiwa ni pamoja na kupandikizwa figo hadi kifo chake.

Ngubane alikufa kutokana na kiharusi mnamo tarehe 13 Machi mwaka 2021, akiwa mwenye umri wa miaka 56.[11]Siku tatu baada ya kifo chake, baba yake Ndodeni Ngubane pia aliaga dunia. Wote wawili walizikwa pamoja, mazishi yao yalifanyika nyumbani kwao Ladysmith.[12]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Menzi Ngubane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Menzi Ngubane SA – Facebook". facebook. 
  2. "Menzi Ngubane 'Sibusiso Dlomo' most memorable TV moments". Connect (kwa en-US). 10 October 2015. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 June 2016. Iliwekwa mnamo 25 May 2016.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. 3.0 3.1 "Menzi Ngubane". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-30. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.  Incwajana.com Retrieved 24 May 2016
  4. MALATJI, NGWAKO. "Menzi Ngubane joins 'Gold Diggers' – SundayWorld". www.sundayworld.co.za. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-23. Iliwekwa mnamo 25 May 2016.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  5. Entertainment, TMG. "Menzi Ngubane tells us 'I'm excited to join Isibaya'". Times LIVE. Iliwekwa mnamo 24 May 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. LIVE, Times. "South Africa takes nine Africa Movie Academy Awards". Times LIVE. Iliwekwa mnamo 24 May 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  7. Keshia Africa (22 May 2021). "All the 2021 Safta winners". Independent Online.  Check date values in: |date= (help)
  8. "Menzi Ngubane on married life: I'm just so happy". Channel. Iliwekwa mnamo 24 May 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  9. "Menzi Ngubane's triumphant year". Channel. Iliwekwa mnamo 25 May 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  10. Pantsi, Nandipha. "Menzi Ngubane is back from the Ashes". The Citizen. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-05. Iliwekwa mnamo 25 May 2016.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  11. Kahla, Cheryl. "Veteran 'Generations' actor Menzi Ngubane dies aged 56", The South African, 13 March 2021. 
  12. "UPDATE Menzi Ngubane, 56, died of stroke, family confirms".