Nenda kwa yaliyomo

Megumi Kagurazaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Megumi Kagurazaka (神楽坂 恵, Kagurazaka Megumi, amezaliwa Septemba 28, 1981) ni mwigizaji na mwanamitindo wa Japani.

Ameolewa na mkurugenzi Sion Sono na ameigiza katika filamu zake saba.[1][2][3]

  1. Blair, Gavin J. (2019-02-07). "Japanese Auteur Sion Sono Hospitalized After Heart Attack". The Hollywood Reporter (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-05-10.
  2. Schilling, Mark (Februari 4, 2011). "Tsumetai Nettaigyo (Cold Fish)". The Japan Times.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Schilling, Mark (Novemba 18, 2011). "Koi no Tsumi (Guilty of Romance)". The Japan Times.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Megumi Kagurazaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.