Mbweu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mbweu wa binadamu.

Mbweu ni mngurumo wa hewa inayotoka tumboni kwa sababu ya mtu kushiba chakula au kupagawa na pepo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Mwita, A. M. A., & Mwansoko, H. J. (2003). Kamusi ya tiba. Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbweu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.