Nenda kwa yaliyomo

Mba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mba ni tatizo la ngozi ya kichwa kutokana na seli zilizokufa, pale ambapo zinabaki kwa wingi.

Sababu ziko mbalimbali, na hakuna tiba ya hakika.

Kwa kuwa ni tatizo linaloonekana wazi, mara nyingine linamuathiri mtu hata upande wa saikolojia.